NIGERIA HAIFANYI VIZURI KATIKA SANAA YA UIGIZAJI PEKEE
Hii ni ripoti ya pili kwa kuwa mwaka uliopiata kampuni hiyo ilifanya utafiti ambao ulionesha kuwa wanawake wa Nigeria sio waaminifu katika mapenzi duniani hali inayomaanisha kuwa wengi wao hawaridhiki katika mapenzi na kwamba kama wangeridhika wasingekuwa na tabia ya kutokuwa waaminifu
Hata hivyo, kwa mujibu wa utafiti uliofanywa duniani kote kwa njia ya mtandao, Nigeria imekuwa nchi ya kwanza kwa kupata asilimia 67, ikifuatiwa na Mexico iliyopata asilimia 63 na India ni ya tatu ikiwa na asilimia 61.
Utafiti huo pia umebaini kuwa Wanigeria hutumia muda mrefu zaidi katika kufanya mapenzi kwani hutumia zaidi ya dakika 24 kwa mshindo mmoja
Aidha utafiti huo umewataja wahindi kuwa ndio washindi kati ya watu wanaomaliza tendo hilo kwa haraka zaidi kwani hutumia chini ya dakika 13 kwa mshindo mmoja na kwamba Wajapan wanaongoza kwa uaminifu na kuridhika na tendo hilo duniani kote kwa kupata asilimia 15
No comments:
Post a Comment