Maoni ya Katiba Mpya
Wananchi wa kata ya Iyunga, jijini Mbeya, wakifuatilia kwa makini maoni yaliyokuwa yakitolewa na wananchi wa kata hiyo juu ya uundwaji wa katiba mpya wakati wajumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba mpya kufanya mkuatno wao na wananchi hao hivi karibuni.picha na Godfrey Kahango.
No comments:
Post a Comment