IBADA YA KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA MWANZA MAREHEMU LIBERATUS BARLOW YAFANYIKA DAR
Maofisa wa Jeshi la Polisi wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa
aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow wakati
kuelekea katika Kanisa Katoliki la Ukonga jijini Dar es Salaam leo.
(Picha zote na Joseph Senga)
Paroko wa Kanisa Katoliki katika Parokia ya Ukonga,
Stephano Nyalawila akiongoza ibada maalum ya kumwombea aliyekuwa Kamnada wa
Mkoa wa Mwanza, marehemu Liberatus Barlow, iliyofanyika kanisani hapo.
Mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange akitoa ubani kwa mke wa marehemu
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP, Said Mwema akitoa heshima za mwisho mbele
ya jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Mwanza, Liberatus Barlow.
No comments:
Post a Comment