BRIEFCASE ILIYOHISIWA KUWA NA BOMU YAWALIMU POLISI KUIFUNGUA BAADA YA KUTELEKEZWA
Polisi mjini Nairobi wamelazimika kufungua begi dogo lililokuwa limetelekezwa karibu na kituo cha mabasi kutokana na kuhisiwa kuwa na bomu ndani yake
Wataalam wa mabomu waliitwa katika eneo hilo baada ya wakazi wa Nairobi kutilia hofu begi hilo lililokuwa limetelekezwa kwa muda
Briefcase iliyokuwa ikihofiwa kuwa na bomu |
Hata hivyo baada ya kulifungua begi hilo walikuta vitu mbalimbali ikiwemo kitabu kitakatifu cha Biblia, kalamu na vitabu vinginevyo
No comments:
Post a Comment