FLASH

Friday, November 16, 2012

HUU NDIO UTAFITI WA JAMES ROCK MWAKIBINGA

KWA UTAFITI WANGU WA MIJINI NA VIJIJINI KUHUSU VIJANA NA SIASA......KUNA KAZI KUBWA KIDOGO ASILIMIA 65 HAWAIPENDI CCM,ASILIMIA 35 WANAIPENDA CCM.
HAPA VIONGOZI WALIONGIA MADARAKAN NGAZI ZA KATA,WILAYA,MKOA,HADI TAIFA WANATAKIWA WAPIGE KAZI MWANZO MWSHO KUHAKIKISHA TUNAONGEZA WANACHAMA WA MAKUNDI YA VIJANA,SIYO KUPUNGUZA WANACHAMA HAWA..KIJANA ALIYEKO KIDATO CHA TATU LEO ATAPIGA KURA 2015,
ATAUNGANA NA MAKUNDI MATATU WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE KWA MIAKA 3 HII MFULULIZO ,JE WATAIPIGIA KURA CCM?KUNA KAZI YA ZIADA INAHITAJIKA KUTAMBUA NGUVU KUBWA YA VIJANA NDANI YA JAMII MIAKA HII,HAMASA YAO KATIKA KUJIANDIKISHA NAYO IMEONGEZEKA WANA ARI YA MABADILIKO,WANA ARI YA KUWAONA VIJANA WENZAO WAKIWANIA NAFASI MBALI MBALI KAMA UDIWAN,UBUNGE,SERIKAL ZA MITAA..
VIJANA KIUKWELI WAMECHOKA KUONA SAFU ZA WAZEE WAKIWANIA NAFASI HIZO HAWANA IMANI NAO TENA...CHAMA CHANGU CHA MAPINDUZI KINAHITAJI KITENGO CHA UTAFITI KABLA YA KUELEKEA 2015,WAJUE WANANCHI WANAHITAJI MGOMBEA WA UDIWAN AU UBUNGE AU SERIKALI ZA VIJIJ NA MITAA WA SIFA ZIPI WA UMRI UPI WA VIGEZO VIPI....
MIE NIMEJITOLEA KUWANIA UDIWANI KATA YA KAWE MWAKA 2015 NAJUA NITAKUWA DIWANI MDOGO KULIKO WOTE LAKINI NINA SIFA NA VIGEZO EWE MWENYEZI MUNGU UNISAIDIE.

No comments:

Post a Comment